Listen to Ops radio free on KeepOne Radio.
Radio hii Iko ni madhabahu chini ya huduma ya Neno,maombi na maombezi kwa Njia ya mitandao, mtumishi Ayubu Mwafyela Kwa Neema ya Mungu na watumishi wengine Kutoka ndani na nje ya Tanzania Wanatumika katika madhabahu hii
















