Tanakh Fm

Tanakh Fm

0 Preferiti 40 Hit

A causa degli ultimi aggiornamenti, non puoi più ascoltare questa radio con il tuo browser. Fai clic sull'icona qui sotto per continuare ad ascoltare con il player di supporto!

Tanakh fm ni kituo cha radio kinacho ruka kutoka moshi mkoani kilimanjaro tanzania. Vipindi vya kijamii pamoja na vya kiroho kwa pamoja vinahudumia jamii kwa ubora na viwango vya hali ya juu masaa 24 siku 7 za wiki.
Mamilioni ya watu wamekuwa wakitoa shuhuda za matendo makubwa ya mungu kwa kusikiliza tu vipindi vya radio; uponyaji wa papo kwa hapo, mpenyo wa kiuchumi, urejesho wa familia n.K zimekua shuhuda maarufu sana kwa wasikilizaji wake. Hongera kwa kujumuika na familia hii ya upako wa ishara na miujiza. Washirikishe wengine wafikiwe!! Moshi - kilimanjaro 105.9 fm Shinyanga - kahama 103.5 fm Morogoro tanzania 100.3 fm
Ascolta Tanakh Fm sul tuo cellulare!
Get it on Google Play Get it on App Store
Radio simili

Scarica l'app gratuita

Ascolta più di 100.000 stazioni radio in diretta, e contenuti on-demand come podcast e spettacoli, ovunque tu vada.

Get it on Google Play Get it on App Store